Enter your keyword

School type

Shule ni ya mchanganyiko wavulana na wasichana(Core Education),kutwa na bweni(Day and Boarding).

Shule inaandikisha wanafunzi wa wote wavulana na wasichan bila kubagua dini,rangi,kabila.(School admits and enrolls all boys and girls and it operates without discriminating them by their colours, financial status, Religions, tribe and others alike)

Shule inafundisha kwa kufuata mtaala wa kawaida wa Elimu ya sekondari kwa mujibu wa mwongozo wa Wizara inayohusiana na elimu Tanzania

(School is teaching following the Tanzania National Curriculum).

Shule imesajiliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi mwaka 2004(The school registered in 2004 with Reg:No:S 1666).

 Pia shule ilisajiriwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kama kituo cha watahiniwa wa kujitegemea PC  na QT kwa namba P 1602

(School also registered as the Private Candidate and Qualifying Test PC and QT respectively Examination Centre with Reg: No: P 1602).

Shule ya sekondari kisukuru Regent iko Dar es salaam,Wilaya Ilala.Unaweza kufika shuleni kwa urahisi kwa kutumia usafiri binafsi(Private Car) au usafiri wa jumla maarufu kwa jina “daladala” (Public transport car).

Shule inapatikana karibu kilometa 3 kutokea kutuo cha basi Tabata-Segerea nyuma kidogo na Gereza kuu la Mahabusu la Segerea kupitia njia ya Bonyokwa kituo cha Uwanjani. Na pia shule iko umbali wa kilometa karibu 3 kutokea kituo cha daladala cha Migombani na kilometa karibu 6.5 ukitokea Ubungo Ruver Side kupitia barabara ya njia panda ya Mabibo-External mkono wa kulia ukitokea Ubungo         River Side na kushoto ukiwa unatokea Buguruni.

(School is located about 3km from Tabata-Segerea Bus stand nearby and behind Segerea Prisons, along Bonyokwa Road at Uwanjani Bus Stop.  It is about 3km from Migombani-Tabata and is about 6.5km from Ubungo Riverside when using Mabibo External short cut way, cross the right hand side when coming from Ubungo Riverside and the left hand side when coming from Buguruni)