Enter your keyword

Vision

Kuwa shule ya sekondari inayoongoza kwa kutoa elimu bora Afrika Mashariki. (To be a leading Secondary School and providing standard and quality education in East Africa)

Kutimiza malengo ya Dira ya shule yetu,shule imeendelea kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali ikiwemo ya kuajiri walimu wenye ari,uzoefu  na weledi mkubwa katika kazi hii ya ualimu.

(Employed professional and self motivated teacher’s in this teaching professional)

Kununua vitabu vya  kutosha vya kiada na ziada kwa ajili ya matumizi ya maktaba .

(Buying the text and reference books and other teaching and learning material required during the teaching and learning processes especially for purposes of the library uses)

Kutokana na umuhimu wake,shule imeendelea  kununua vifaa vingi vya kutosha kwa ajili ya maabara ili watoto wanapofundishwa kwa nadharia darasani pia wajifunze kwa vitendo ili kupanua uwezo waowa kuelewa mambo hasa ya ya kiugunduzi na utafiti.

(Also buying enough material, chemicals and other requirements for Laboratory uses so that our students can also learn through doing practical rather than relying on theory itself, hence become curios and real scientist in future)